websta.me
Instagram Post by Chibu Dangote (@diamondplatnumz) | WEBSTA - Instagram Analytics
am looking for a property to buy in #Kigali. My future new home for the Simbas! My Rwandese fam, any ideas....?Ningependa kuwa na kakibanda Kigali, Rwanda, Maana ni moja ya nchi niipendayo... hivyo ningefurahi kuwa na moja ya makazi yangu hapo.... Eti ndugu zangu wa Rwanda ni maeneo gani huko panaweza nifaa....?