zanzibardaima.net
Khalifa Hatfar: Kibaraka wa Marekani au mwokozi wa Libya?
Haftar anaishtumu serikali ya Tripoli kuwa imejaa magaidi na amekuwa akidai kwamba lengo lake ni kuwapiga vita magaidi wote wenye kufuata mielekeo mikali ya Kiislamu kama vile wafuasi wa Dola ya Ki…