zanzibardaima.net
Nyerere hakuwa na insafu juu ya Muungano
MARA ya mwanzo kabisa kukutana na Mwalimu Julius Nyerere, uso na macho, ilikuwa 1968 jijini London ndani ya ukumbi mmoja wa hoteli iitwayo Hyde Park Hotel. Hoteli hiyo iko mkabala wa uwa…