zanzibardaima.net
Vyombo vya Usalama vyalaumiwa uvunjaji haki za binaadamu
Mkoa wa Dar es Salaam ndio unaoongoza kwa uvunjifu wa haki za waandishi. Mikoa mingine inayoonekana kinara wa ukiukwaji huo ni Kigoma, Mtwara, Tanga, Singida, Shinyanga na Njombe.