zanzibardaima.net
Trilioni 1.5 zapotea, TRA yadanganya makusanyo ya trilioni 2.2 – Zitto Kabwe
Kiongozi wa chama cha upinzani cha ACT Wazalendo, Zitto Kabwe, amesema kwa mujibu wa ripoti ya Mkaguzi Mkuu wa Serikali, CAG Mussa Assad, serikali kuu imepata hati chafu ikiwa imetumia mabilioni ya…