zanzibardaima.net
Kwaheri Maalim Suleiman Shkeli wa Pandani
Mauti ewe mauti, ukija kama hujaja Huwa waja katikati, ya maisha yetu waja Katikati ya wakati, na kati ya zetu haja Na hata tukikutaja, wewe khabari hupati Nimepokea habari ya Kaka yangu, Mzee wang…