zanzibardaima.net
Kinachoidhuru zaidi Zanzibar ni Wazanzibari wenyewe – Othman Masoud
Mwanasheria mkuu wa zamani wa Zanzibar, Othman Masoud Othman, amesema kwamba licha ya Wazanzibari kuamini kuwa nchi yao inatawaliwa na Tanganyika na kwamba haitendewi haki kwenye Muungano, ukweli n…