zanzibardaima.net
Maalim Seif asema Mama Samia alikuwa mwanachama wa CUF
Katibu Mkuu wa Chama cha Wananchi (CUF), Maalim Seif Sharif Hamad, amefichua siri kuwa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mama Samia Suluhu Hassan, aliwahi kuwa mwanachama wa CUF, a…