zanzibardaima.net
Kamwe Wazanzibari hawatamsamehe Kikwete – Mazrui
Naibu Katibu Mkuu wa CUF, Nassor Ahmed Mazrui, amesema kamwe Wazanzibari hawataweza kumsamehe rais mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Mrisho Kikwete, kwa ushiriki wake kwenye kuuhar…