zanzibardaima.net
Nape atema cheche juu ya demokrasia nchini
Mbunge wa Mtama (CCM), Nape Nnauye amesema Tanzania inaweza kuwa Taifa la ovyo iwapo itashindwa kujifunza siasa za kuvumiliana hata kama yale yanayosemwa hayapendezi. Nape ambaye amekuwa akiibua mi…