zanzibardaima.net
Hatuko huru kumkosoa Rais-Wananchi
Taasisi ya Twaweza imebaini asilimia 60 ya wananchi hawajisikii huru kukosoa Taasisi ya Rais huku asilimia 54 hawajisikii huru kumkosa Makamu wa raisi. Utafiti huo uliotumwa leo Machi 29 kwa vyombo…