zanzibardaima.net
Zaima TV yazindua kipindi maalum cha ‘Ajenda ya Zanzibar’
Kuelekea maadhimisho ya miaka 54 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar hapo Aprili 26, Zaima TV inaanza kurusha kipindi maalum kiitwacho Ajenda ya Zanzibar, ambacho kinaangazia hoja ya Wazanzibari …