zanzibardaima.net
Mbowe aitwa tena polisi, atowa waraka mzito kwa taifa
Leo tarehe 22 Machi 2018, mimi na viongozi wenzangu waandamizi wa Chadema tumetakiwa tena kuripoti Polisi. Tunaokabiliwa na usumbufu huu ni pamoja na Mhe Vincent Mashinji (Katibu Mkuu), Mhe. John J…