zanzibardaima.net
Hatimaye Nondo apandishwa kizimbani kiutata
Hatimaye jeshi la polisi nchini Tanzania limempandisha kizimbani kiongozi wa Mtandao wa Wanafunzi Tanzania (TSNP), Mahmoud Abdul Nondo, mkoani Iringa, baada ya takribani wiki mbili za kumshikilia. …