zanzibardaima.net
Huku mkwamo wa kisiasa ukiendelea Z’bar, CUF yageukia soka
Wakati bado Chama cha Wananchi (CUF) kikiendelea kuamini kuwa mgogoro wa kisiasa uliotokana na uchaguzi wa Oktoba 2015 haujesha, sasa chama hicho kikongwe visiwani Zanzibar kimegeukia kwenye mchezo…