zanzibardaima.net
Zanzibar yawania kujitangaza kimataifa
Maonesho ya kimataifa ya utalii ya Berlin yamemalizika nchini Ujerumani hivi karibuni, na kwa mara nyengine tena Zanzibar imehudhuria kama nchi ikisaka utambulisho wake yenyewe. Lakini bado changam…