zanzibardaima.net
Je, sheria ya ardhi Zanzibar inakupa haki gani?
Miongoni mwa masuala yanayozuwa mizozo mikubwa visiwani Zanzibar ni umiliki na uhaulishaji wa ardhi pamoja na mali nyengine zisizohamishika, ambapo matukio mengi ya kudhulumiana yanaripotiwa. Lakin…