zanzibardaima.net
Tiba: Neema zilizo rahisi kwa mtu kuhusudika
Kwenye mfululizo huu wa makala za Nuru ya Tiba, leo Sheikh Sultan Al Mendhry anafafanua neema nne ambazo mwanaadamu anapokuwa nazo, huwa rahisi kwake kufanyiwa hasadi na akadhurika kwazo.