zanzibardaima.net
Mbowe asema wananchi wanataka kulipiza kisasi, lakini anawazuwia
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendelea (CHADEMA), Freeman Mbowe, amesema kuwa wananchi wanaushinikiza uongozi wa chama hicho kuwaruhusu kutumia njia zao wenyewe kujilinda na kulipiza kisas…