zanzibardaima.net
CUF yazitangaza NEC, ZEC maadui wa taifa
Mwenyekiti wa Kamati ya Uongozi ya Chama cha Wananchi (CUF), Julius Mtatiro, amesema kuwa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) na ile ya Zanzibar (ZEC) ndio maadui wakubwa kwa Jamhuri ya Muungano wa Tan…