zanzibardaima.net
Baada ya mauaji mengine ya kikatili, sasa CHADEMA yataka wanachama wajilinde
Kufuatia mauaji mengine ya kikatili dhidi ya diwani wake, Godfrey Luena, sasa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimewataka wanachama wake popote walipo kujilinda wenyewe dhidi ya mashambu…