zanzibardaima.net
Kubenea azidi kumng’ang’ania Mwigulu mauaji ya Akwilina
Mbunge wa Ubungo kwa tiketi ya CHADEMA, Saeed Kubenea, amemtaka kwa mara nyengine tena Waziri wa Mambo ya Ndani, Mwigulu Nchemba (CCM), kujiuzulu nafasi yake akimtuhumu kuwa hawezi tena kuaminika k…