zanzibardaima.net
Tambua haki zako ukiwa mikononi mwa polisi
Kukamatwa na polisi si kosa, bali ni utaratibu wa kisheria tu. Kwa hivyo, hata unapotiwa nguvuni kwa tuhuma ya kosa fulani, bado wewe hujawa mkosa, na bado una haki zako kamili kama raia na kama mw…