zanzibardaima.net
Kwa CCM, ushindi ni jambo la lazima
Chama cha Mapinduzi (CCM) upande wa Zanzibar kinasema kwamba suala la ushindi kwenye kila uchaguzi unaofanyika halina mjadala kwake na kwamba kitaendelea kushinda daima. Msikilize hapa Naibu Katibu…