zanzibardaima.net
Chuo Kikuu Huria cha Tanzania sasa chajiimarisha Pemba
Suala la elimu ya juu linazidi kupewa mbele na wananchi wa Zanzibar, ambapo idadi ya wanafunzi wanaojiunga na vyuo vikuu inapanda kila mwaka, na hiyo inatajwa kuwa moja ya sababu ya Chuo Kikuu Huri…