zanzibardaima.net
Ni aibu kwa SMZ kutomtambua mshindi wa fasihi Ali Hilal
Yapata miaka miwili sasa tokea nipate kumjuwa Ndugu Ali Hilali Ali, nilishawishika kuomba urafiki kupitia mtandao wa ‘facebook’ kutokana na michango na elimu yake anayotoa kwa jamii kupitia ukuta w…