zanzibardaima.net
Marekani, EU zamlaumu Odinga
Marekani na Umoja wa Ulaya wamekosoa hatua ya muungano wa upinzani wa NASA nchini Kenya kumuapisha kiongozi wao Raila Odinga, pamoja na hatua ya serikali kuzima matangazo ya vituo vya televisheni. …