zanzibardaima.net
Matokeo ya Kidato cha Nne hadharani
Baraza la Mitihani la Taifa (Necta) limetangaza matokeo ya Kidato Nne ambapo ufaulu umeongezeka kwa asilimia saba. Shule iliyoshika namba moja inatoka Mbeya.