zanzibardaima.net
George Weah aahidi kubadilisha sheria za uraia Liberia
Rais George Weah wa Liberia ametoa agizo la kuondolewa kipengele kwenye katiba kinachoruhusu upatakanaji wa uraia kwa watu weusi tu, akisema kipengele hicho ni cha ”kibaguzi na hakifai”…