zanzibardaima.net
#ZaimaMagazetini: Kampeni zaanza kwa kishindo Kinondoni
Licha ya kuwa kwake uchaguzi wa marudio kwa ngazi ya ubunge tena jimbo tu, lakini uchaguzi mdogo wa Kinondoni unaonekana kuchukuwa sura ya uchaguzi mkuu.