zanzibardaima.net
#ZaimaMagazetini: Lissu atolewa risasi nyengine
Mbunge wa Singida Mashariki aliyeshambuliwa kwa risasi kadhaa mwezi Septemba 2017, Tundu Lissu, ametolewa risasi nyengine mwilini mwake huko matibabuni aliko nchini Ubelgiji.