zanzibardaima.net
Yasemavyo magazeti ya Tanzania leo Januari 21
Kuanza kwa kampeni za uchaguzi mdogo wa majimbo mawili Tanzania Bara ndiyo moja ya habari kubwa za leo, msisitizo ukiwekwa kwenye vyama vya CCM na Muungano wa UKAWA unaowakilishwa na Chadema.