zanzibardaima.net
Yasemavyo magazeti ya Tanzania Januari 14
Yote takribani yanazungumzia kauli ya Mwenyekiti wa CCM, Rais John Magufuli, ya kujitenga na uvumi wa kutaka kuongeza urefu wa mihula ya urais kutoka miaka mitano kila muhula hadi miaka saba.