zanzibardaima.net
Yasemavyo magazeti ya Tanzania Januari 11
Bado mwangwi wa mkutano wa Rais John Magufuli na hasimu wake mkubwa kisiasa aliyewahi kugombea urais mwaka 2015 kwa tiketi ya CHADEMA/UKAWA, Edward Lowassa, ndio gumzo kuu magazetini.