zanzibardaima.net
Yasemavyo magazeti ya Tanzania Januari 9
Mengi yao yanazungumzia hatua ya jana ya Rais Magufuli kumuondoa kamishna wa madini na kuteuwa mpya hapo hapo na kilio chake kuwa baadhi ya mawaziri wake hawamuelewi anavyotaka wawe.