zanzibardaima.net
Zanzibar Heroes iliufanya 2017 kuwa Mwaka wa Mashujaa
Ulikuwa usiku wa maajabu, usiku wa furaha, usiku wa historia na usiku wa aina yake. Usiku wa Mashujaa. Nalazimika kuuita majina tofauti usiku wa tarehe 23 Disemba 2017 kwa kile kilichotokea pale ka…