zanzibardaima.net
Akina Mnyaa, Khalifa na wenzao hawatuwakilishi Wapemba
Hii si mara ya kwanza kwa Chama cha Wananchi (CUF) kujikuta kwenye mgogoro unaokimomonyoa ndani kwa ndani na kisha kikainuka imara kusonga mbele, lakini lazima tuseme wazi kuwa mgogoro wa safari hi…