zanzibardaima.net
Ndani ya mwani, muna fursa kubwa ikiwa Zanzibar itajipanga
Licha ya Zanzibar kutajwa kuwa nchi ya tatu duniani kwa kuzalisha mwani kwa wingi na wenye kiwango kizuri, bado wakulima wanalalamika kutofaidika vya kutosha kwa kilimo hicho. Wakulima wa mwani amb…