zanzibardaima.net
Nguzo ya nne ya mitaji ya mafanikio ni rasilimali asilia
Hadi sasa, kwa msomaji anayefuatilia mfululizo wa uchambuzi wangu wa nguzo za mitaji halisi ya kutufanikisha katika maisha, atakuwa amegundua kuwa kumbe ni kweli kwamba fedha si mtaji, bali ni mato…