zanzibardaima.net
Magufuli anawauzia Watanzania tamaa ya maendeleo kwa gharama ya demokrasia yao
Kwa hakika, Rais John Magufuli anaonekana kuwalazimisha raia wake kufanya naye biashara ya gizani. Yeye awauzie maendeleo, nao wamlipe kwa gharama ya demokrasia angalau hadi mwaka 2020 wakati wa ka…