zanzibardaima.net
Kiburi kinachoelezea shibe hakifai
KIBURI ni uovu uliokatazwa na maandiko matakatifu. Mwenye nacho amedharau utu. Ni kwa maana hiyo hata wahenga walifikia hitimisho la kuwa na methali ya Kiswahili inayosema ‘kiburi si maungwana.’ Me…