zanzibardaima.net
Kwani upinzani wa kisiasa ni adui wa maendeleo?
ZIMEKUWEPO hisia miongoni mwa nchi za Kiafrika kuwa upinzani wa kisiasa ni kama njia ya kuzorotesha maendeleo! Hisia hizo zinatolewa na serikali zinazokuwa zimeingia madarakani kwa njia ya kudai d…