zanzibardaima.net
Je, Tanzania yaweza kupata maendeleo ya kiuchumi kwa kubaka demokrasia?
Shutuma kwamba utawala wa awamu ya tano wa Rais John Magufuli unaibinya roho demokrasia changa ya taifa hili kubwa kabisa Afrika Mashariki zina mashiko yake kwa kuangalia rikodi ya yale yanayotendw…