zanzibardaima.net
SMZ iondowe utata kima cha mishahara sekta binafsi
Nimelichukuwa tena na kulisoma kwa makini zaidi agizo la serikali lililochapishwa katika Waraka wa Sheria Nambari 68 (The Legal Notice No.68) kuhusu ongezeko la mshahara wa kima cha chini kwa sekta…