zanzibardaima.net
Lipumba apingwa kila kona, sasa zamu ya Unguja
Viongozi wa Chama cha Wananchi (CUF) wa wilaya zote saba za kisiwa cha Unguja wamejitokeza hadharani kumpinga aliyekuwa mwenyekiti wa chama hicho, Profesa Ibrahim Lipumba, wakimshutumu kwa kushirik…