zanzibardaima.net
Mtoto Masoud anahitaji msaada wako
Mtoto Masoud Khalfan Sanani ana umri wa miaka minane na ni mwanafunzi wa skuli ya msingi. Anaishi na wazazi, bibi na ndugu zake, Fuoni Michenzani, kando kidogo ya kitovu cha mji mkuu wa Zanzibar. K…