zanzibardaima.net
Majaliwa awang’ang’ania wanaopata ujauzito shuleni
Kwa mara nyengine tena, serikali ya Rais John Magufuli imepigia msumari kwenye msimamo wake wa kutokuwakubalia wanafunzi wa sekondari na msingi wanaopata ujauzito kurejea masomoni baada ya kujifung…