zanzibardaima.net
Unyooshaji nchi uelekezwe mote 
Jitihada za kuikarabati nchi yetu, kama kweli zimekilenga kinachosemwa, kuitakatisha na kuiimarisha nchi, zielekezwe kwenye maeneo yote kwa kupagusa kila panapoonesha kuleta dosari katika uimara n…