zanzibardaima.net
Ramadhani nyengine imepita, dhuluma dhidi ya Uamsho bado yaendelea
Kwa hakika sijui ni kitu gani kilichokuwa kimenifanya niamini kuwa Ramadhani ya mwaka huu isingelimalizika kabla ya viongozi na wafuasi wa Jumuiya ya Uamsho na Mihadhara ya Kiislamu ya Zanzibar (Ua…