zanzibardaima.net
Musiloweza kulisema Tanganyika, mwalisema Zanzibar
Mimi sifichi msimamo wangu dhidi ya ‘siasa’ za huu tunaoaminishwa kuwa ni Muungano wa Tanzania kuelekea Zanzibar, ingawa naweka mpaka baina ya kusimama dhidi ya Muungano wenyewe na kusimama dhidi y…